Mshahara wa Mtoto wa mkulima Sh ngapi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa Mtoto wa mkulima Sh ngapi jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eliesikia, Jun 2, 2011.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mi nahisia tuu hapa....!! Lakini tuchanganue kiukweli kabisa maaana mengi tunafichwa tuu...
  ANAKAMATA MILL >15.5M
  Anatudanganya anayo mill 25 benki wakati mshahara wa waziri mkuu ni mil 3.5 posho zake kama mill5 jumla 8.5. Halafu anatia kibindoni mill 7 za ubunge jumla 15.5 halafu eti aseme yee mtoto wa mkulima... Upuuzi mtupu
   
 2. S

  Shiefl Senior Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mtu akiwa waziri na mbunge anakula mishahara zote mbili au anapata mmoja.
   
 3. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanatuona sisi mazumbukoko,eti....
   
 4. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  piga kaz acha majungu!, unajua mshahara wa commisioner wa tra wewe?, wa gavana wa bot je?, wa kwako (ukilinganisha na yule mama anaefagia barabarani dar) je?!, usichungulie mifuko ya watu utakua mwizi
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mil 15?.............. hivi unajua lakini vipato vya wanasiasa za nchi hii? ...................... hicho kipato ulichotaja hukipata kwa chini ya wiki moja na hakatwi kodi kwa kipato chake na on top of that anahudumiwa yeye na familia yake kwa kila kitu kama nyumba, chakula, simu, maji ada za shule za watoto, matibabu, wafanyakazi wa ndani nk mpaka kifo kitakapomtenganisha na dunia hii!!.......................... ukimsikia yuko mahali anafungua semina au mkutano uwe wa shirika la umma au kampuni binafsi, basi huwa kuna bahasha inachukuliwa na wasaidizi wake na kufikishwa kama si benki kwenye account yake basi ni kwake mwenyewe................ kwa kawaida mawaziri ndio huwekewa humo kwenye bahasha wastani wa m1.................... mtu kama PM lazima huwa juu ya hapo................... wewe fanya mchezo na kitu kingine sio siasa za TZ aisee........................
   
 6. T

  Technology JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  eliesikia kama huna kazi za kufanya njoo tukupatie.
   
 7. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  So what?
   
 8. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hovyo kweli
   
 9. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Nitagombea ubunge kama mambo ndio hayo
   
 10. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Ndg Tutafika,

  Yakupasa ujue vizuri mambo ya jamii na mazingira yako. Mawazo yanayotoa maoni kama uliyotoa hapo juu si mazuri hata kidogo. Mawazo kama haya yakiendekezwa matokeo yake ni umasikini kuanzia mtu mmoja mmoja hadi taifa kwani hata viongozi wa kitaifa watawaachia wageni watuibie kwa mawazo kama yako.
  Siyo vema kushawishi watu wajifanye walemavu wa fikra.
   
 11. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  tutafika 2. Hata huk US watu wanahoji mshahara hata uzaliwa wa raisi. Kama nimekugusa basi twende kazi. Kwa kifupi namaanisha mtoto wa mkulima ali2danganya wAtz kudai benk kahifadhi hela kama mimi
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Yule mizengo anakunja si chini ya 15 m. Anajitadai fukara mnafiki . . !
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa sasa ni mtoto wa mfanyabiashara!
   
 14. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapa ni abotabad sikai naondoka
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,913
  Trophy Points: 280
  duh! tutafika
   
 16. JOMBAAA

  JOMBAAA Member

  #16
  Jun 4, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haujulikani maana wanogopa kuwa wataitwa mafisadi. lakini mi naamin kiongozi mzalendo ni yule mtu ambae ni muwazi kwa wananchi wake.
   
 17. l

  lepanetta Member

  #17
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikianza na Waziri, mshahara wake ni sh. 2 .8 milion kabla ya kodi! posho ya ziada ni sh. 415,000 kwa ajili ya simu, umeme na maji kwa mwezi ambayo wenyewe huita utilities! PM mshahara wake hauzidi 5.5 kabla ya makato ya kodi, kwa bahati mbaya au nzuri yeye hapewi utilities kwa kuwa vyote hivyo vinakuwa taken care na Govt. Mawaziri wote including PM hawapewi mshahara wa ubunge kwa kuwa Tanzania ni marufuku kupokea mishahara miwili. Isipokuwa watu hawa wanapata sitting allowance na posho ya jimbo kwa ajili ya kuwalipa wasaidizi wao majimboni na makatibu muhtasi wao wa huko majimboni. Kwa maneno mengine Waziri wa kawaida hafikii mshahara wa Spika, AG na Chief Sekretari ambao wanapata 4.7 kabla ya makato. Kumbuka kuwa mawaziri hawa hawana bima ya afya kama walivyo wafanyakazi wengine wa Govt. khusu Kamishna wa TRA huyu anadaka almost 25 Milion kwa mwezi na gavana anadaka almost 20 Milion kwa mwezi kabla ya makato. Wawili hawa ni the highest paid persons in the Government.
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hauwezi kujua Mshahara sababu vitu vyote anavyopata bure
  1. Mpishi Ndani
  2. Mpambe - kumvalisha nguo yeye
  3. Mpambe - kumvalisha nguo mkewe
  4. Mwenda Sokoni - serikali inalipia
  5. Gari la huduma nyumbani
  6. Nguo za Mh. na Mkwewe serikali inalipia
  7. Malazi
   
 19. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Jamani lazima tuelewe watanzania wengi waliopo na waliopita ni watoto wa wakulima, na tuelewe kuwa mtoto wa mkulima haimanishi na yeye ni mkulima kwa sababu Andrew Chenge ni mtoto wa mkulima, Daniel Yona ni mtoto wa mkulima, edward lowassa ni mtoto wa mkulima, Fredrick sumaye ni mtoto wa mkulima, Mramba ni mtoto wa mkulima orodha inaendelea, Je Pinda anatofauti gani na hawa watoto wenzake wa wakulima?
   
 20. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Suala la msingi, kiwango cha mshahara wa PM kimepangwa na serikali pasipo kujali mtoto wa mkulima ama wa tajiri. Yeye anaposema mtoto wa mkulima maana yake ni asili yake na si vinginevyo.
   
Loading...