Mshahara wa July 2019 vipi?

Hivi wanaweka kwa pamoja watumishi wote au wanaweka kwa butch?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo umeandika nn sasa mara mimba mara siku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo umeandika nn sasa mara mimba mara siku
Ilikuwa kiwewe cha kusubiria mshahara lakini umetoka sasa niko njema
hahahahahhaha
 
Karibu yaani hapa nachungulia saa kila muda, naona saa kumi ya JPM aliyosema uwe ndio muda wa kufungua Bar hata haifiki. hahahahahaahhahha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mshahara umetoka Wakuu niwatakie kazi njema katika kujenga Taifa letu. Wafanyakazi wote hoyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…