fanya kazi pombe haikusaidii chochote.Hakuna na wameshindwa kukontroo tarehe maalumu ya kutoa mishahara.Kila mwezi na tarehe yake mara 19, 22, 24, 27 wapi na wap!!!!!!
Mkulu alisema siku hizi nawapa 19 sasa mpk leo 19 bado?????? Tatizo nini hapa????
HawajapataMbona mishahara tayari?
We jamaa weweNiko grocery karibu na home. Tuko na mjeda mmoja na jamaa 2 wa magogoni. Wote tunakunywa kwa mkopo tukitegemea huenda ijumaa au jumatatu tutalipa
Kweli kbs boss watu tunawadai na cm wamefungaWanatakiwa wawe systematic, yaani unajua kabisa tarehe fulani muda fulani account inasoma
PolePesa ya mishahara hutolewa BoT? Makubwa haya!
acha uboya weweMbona mishahara tayari?
ππππππππππππSasa hii nitaitoaje aseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 1160752
ππππππππππππ
Mmmh!Si tayar wametoa
Daaah, nikajua nyongeza ya mwaka itaanza July hii kumbe hamna kitu.
Nimechek umeingia uleule 3.6 Million kama kawaida.
Jaman, lini tunapandishiwa mishahara πππππ
Hahaaaaaa mjomba anajuaHongera una LSSE E/2
Daaah, nikajua nyongeza ya mwaka itaanza July hii kumbe hamna kitu.
Nimechek umeingia uleule 3.6 Million kama kawaida.
Jaman, lini tunapandishiwa mishahara πππππ