Mshahara wa July 2019 vipi?

Demiss na manengelo ni civil servants, na kwa mapepe yao,ni watumishi wa level ya chini tu!Na wadangaji vile vile,ndo maana unawaona wote wanatrend huku.Ingawa namtaman sana Demiss kwa mapepe yake!

Mie sio mtumishi aisee. .mie napita kokote kule aisee sigombwi na mtu..hahaa ! pole pia
 
Uongo ni dhambi kubwa sana. Na linapokuja kusema uwongo kuhusu mshahara ni mara mbili ya dhambi ya uongo wa kawaida. Nyie hamjui tuu watu wapo na hali gani? Kuweni na huruma
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Acha nimefulia wewe Huu mwezi wa sita nashangaa nilikuwa na majukumu ya kuhamia nyumba mpya imenifilisi sana hata balance hakuna naomba hata elf 5 rafiki
Demiss sikuwezi, unatembelea thread Mbili kwa mpigo, kweli vyuma vimekaza
 
Hata kama mm wa kiwango hicho ila Nashukuru naweza kujihudumia kuanzia kodi Nauli za kunipeleka popote najilisha chakula chochote navaa nikitakacho kwa hiyo hela yangu ninayoisubiria hapaa. Mkuu kwa usawa wa maguu mtu kama mm au Manengelo tuna soko balaaaa
Demiss na manengelo ni civil servants, na kwa mapepe yao,ni watumishi wa level ya chini tu!Na wadangaji vile vile,ndo maana unawaona wote wanatrend huku.Ingawa namtaman sana Demiss kwa mapepe yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…