Mshahara wa July 2019 vipi?

Hahahahha
Unasubiri mshahara mpaka unalewa. Ukishatoka unaenda kuzimua kuja kushtuka umeisha tayari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mawazo yanaanza tena.
 
TANGAZO! TANGAZO!

Yeyote atakae pata taarifa ya kuandama kwa mwezi maeneo ya NMB atupe taarifa haraka ili kesho tusijikute tunaendelea tena na mfungo wa Koresma'


NB:Ikumbukwe kuwa mfungo uliopita mwezi ulionekana tarehe 19 June.
Demiss naye ni mtumishi wa umma??!!!..hahaha
 
Leo kutakuwa na bia za promosheni na burudani ya muziki mpaka asubuhi...leteni mishahara yenu
 
Hata uweke vielelezo bado utasemwa tu binadamu tunawafata vile wanavyotaka hahah[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28] ww inabid uwape vielelezo vyako uwafunge midomo..tunaosubiri madanga yapate mshahara tuko kimyaaaaa.tunajitikisa tu hapa[emoji28][emoji126][emoji126]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…