Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Huwa nawashangaa sana watumishi wa umma wa aina yako hivi kweli hamna namna nyingine ya kuishi nje ya mshahara kiasi kwamba mshahara ukichelewa siku moja tuu mayowe nchi nzima
Mshahara ni haki yake, Lazima apewe ndani ya muda, Namna nyingine zisifanye mshahara uchelewe.
 
Back
Top Bottom