Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Huu mwezi itachelewa kwaajili ya madaraja.... wale wa madaraja mapya wanaula. Vuteni subira!
Kungekuwa na madaraja tungekwisha sikia maana halmashauri zetu huwa hazina Siri, sasa hivi tofauti na documents walizokusanya pako kimya sana.
 
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Huwa nawashangaa sana watumishi wa umma wa aina yako hivi kweli hamna namna nyingine ya kuishi nje ya mshahara kiasi kwamba mshahara ukichelewa siku moja tuu mayowe nchi nzima
 
Back
Top Bottom