Acha kufikiri kirahisi rahisi.
Mtu akiwa mfanyakazi bado anaweza kua mfanyabiashara Sasa kosa lake nini kuuliza mshahara ilihali amefanya kazi? Au akishakua na biashara na pia ni mfanyakazi basi asiulize mshahara?
Watu wa jf wanajifanya kila mtu kajiajiri wakati ukienda jukwaa la kazi watu kibao wanatafuta kazi yoyote halali.
Watu kibao humu wameajiriwa na wana biashara zao vile vile wana mashamba kibao, pamoja na hayo kuuliza mshahara ni lazima kwa sababu mshahara ndio foundation inayowapa uwezo wa kupanua biashara zao na hata biashara ikiyumba mtu halali njaa maana atapata mshahara wakati anajipanga kurekebisha biashara zake.