Mshahara wa Disemba 2017

Heeh..!! hawa hazina hawalali? ? yaani usiku huu ndo wameingiza mshahara wangu, au kwa vile daraja langu jipya bado hawajalipa... matumaini yote pyuuuu..!!!!
uzushi unaweza ukahesabiwa kuwa uchochezi....beware !!!
 
Vichwa havifanani vipo vya bange cocaine gongo laana albadir malezi mabaya sikio la kufa
 
 
Wale waliokuwa wakisubilia mshahara wa mwezi wa 12 mzigo umezamishwa tayari,Nawatakieni matumizi mema kumbukeni january ilivyo ndefu
 
Kujiongeza ni muhimu jamani..

Pleasee...mtaumbukä siku. Uza hata icecream. Zinafaida. Na hukosi hela ya mboga.
ACHA UTANI NDUGU! HUJUI KAMA HII NI AWAMU YA KUKUSANYA KODI! EBU NENDA TRA UWAAMBIE KUWA UNATAKA KUUZA ICE-CREAM UONE KODI WATAKAYOTAKA!
 
hatari aseee kwa style hii ya kutegemea mshahara
 
Wale wajinga wasiojua, tajiri Bakhresa ana mshahara. Anafanya biashara zake na anajilipa mshahara. Ili biashara zake ziende, lazima ajiri watu, tena wengi tu. Hao wanalipwa mishahara.
Biashara ya mtu mmoja bila kuajiriwa mara nyingi ni uchuzi tu.

Hakuna namna ambayo kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara asiyetegemea mshahara. Hiyo nchi haipo duniani. Labda kule Mars!
 
Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Mkuu usiishi kwa mshahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…