Mshahara wa Disemba 2017

Mshahara umeshaingizwa jioni hii
Ndio maana wachangiaji wote wa uzi wamepotea, nadhani sasa rasmi wameiaga ile phase ya "kuwa kuku" na wameanza mzunguko wa "kula kuku", kwenye tarehe 2 mwezi wa kwanza wata "switch" kwenda phase ya "kula chakula cha kuku" kabla ya kumalizia tena na phase ya mwisho wa mwezi ya "kuwa kuku" kisha utaona uzi kama huu umeibuka, what a beautiful life!
 
Haaaaaahaaah
 

Kuwa kuku vs kula kuku vs kula chakula cha kuku
 
HAKUNA PESA INAYOTOSHA.
Usiwapotoshe wajinga wenzio.
 
tehe tehe!
 
Heeh..!! hawa hazina hawalali? ? yaani usiku huu ndo wameingiza mshahara wangu, au kwa vile daraja langu jipya bado hawajalipa... matumaini yote pyuuuu..!!!!
Mpunga umeshaingia muda tu mkuu sema network inasababisha hayo. Ni kama utumiwe vocha saa kumi jioni halafu ikufikie saa 4 usiku. Transfer ya Pesa kutoka serikalini kuingia kwenye akaunti yako works the same way sio kwamba watu wamekaa usiku wa manane kuingiza mishahara
 
Halafu Kuna kitu huwa sikielewi kwa hawa wakosoaji wa MTU anayeulizia mshahara.Kwani si kaufanyia kazi?? Haya wote tukiwa na mashamba hayo mazao atayanunua nani.Si ni kwamba walioajiriwa wakipata pesa ndo wananunua chakula.Ni mgawanyiko tu.Au hawajui kwamba mwisho wa mwezi ndo biashara inakywepo kutoka kwa hao hao mnaowabeza eti wasubiri mshahara .No wafanyakazi wore wakulima nchi itakwenda? Je hao wafanyakazi hawafanyi kitu cha faida Mfano nenda uhamiaji unatafuta passport, visa au chochote zile purukushani za wafanyakazi wake Mpaka unapata .Leo anadai haki ya kazi yake unamponda.Sio lazima wote tukawa wafanyabiashara au wakulima .Kila MTU ni muhimu pale alipo. Na wengine wameajiriwa huku ni wafanyabiashara au wakulima na atadai tu haki yake.Kwani Mpaka kuipata aliisotea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…