THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
Yeah, nikwambie taarifa hizo ni za kweli kabisamkuu Mimi sijaajiriwa kabisa hizo ni taarifa tu
Yeah, nikwambie taarifa hizo ni za kweli kabisamkuu Mimi sijaajiriwa kabisa hizo ni taarifa tu
Mkuu Detective J kama diploma wanalipwaTNPSS C1 ambayo ni 1.5M je TNPSS E ya bachelor itakuwa million ngap ?TANAPA. Wenye diplona wanalipwa 1.5 TNPSS C1. Chukua details uone kama nakudanganya.
Mkuu check pmNimetuma salary slip angalia hapo acha kupanick boss.
2.0MMkuu Detective J kama diploma wanalipwaTNPSS C1 ambayo ni 1.5M je TNPSS E ya bachelor itakuwa million ngap ?
Okay shukrani2.0M
Tgs C ni kitu ganiTgs c
Okay shuk
500kTgs C ni kitu gani
Kama unaweza kufafanua samahani TGs na rank zake za fedha500k
Hebu zitaje mkuukuna taasisi za serikali wanaanza na 1,800,000/- halafu posho 10%
Hapana ni laki 7 nane 9Diploma ya IT kama ni sekta binafsi hawatakuzidishia laki 4 labda kama una maujanja za ziada
Mada ya 2020,na mishahara yao ilikuwa hivyo,leo mambo ni tofauti, hata hiyo 8-9 bado ni ndogo sana kwa miaka hii.Hapana ni laki 7 nane 9
TrueMada ya 2020,na mishahara yao ilikuwa hivyo,leo mambo ni tofauti, hata hiyo 8-9 bado ni ndogo sana kwa miaka hii.