Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

Nitajie taasisi moja ambayo mshahara wa kuanzia diploma ni zaidi ya laki7 na 60 ... Usiwadanganye
Zipo nyingi mkuu! Hizo scale za tgs mostly zipo local government ila watumish weng ambao wapo chin ya central government wanalipwa zaid ya hyo laki saba kwa diploma mfano Dawasa, Tarura, Tanesco na soon Ruwasa
 
Sio kitu cha ajabu kuna taasisi ipo naifahamu MTU wa dip anakucha 1.1 Million Gross salary

Mambo ya kawaida tu
Sio Tanesco hii Boss[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi jobless tu ila nilikuwa nawaonyesha ma Boss wa JF wanaona ni kitu cha ajabu Dip holder kupokea 1.6m
 
mimi nipo kwenye moja ya hizo taasisi, narudia tena acha kujaza watu ujinga.
wewe haupo kwenye taasisi yoyote kati ya nilizozitaja unachotafuta in justification, hata Mimi naweza Sena nipo taasisi Fulani kusema no rahisi
 
Back
Top Bottom