Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,521
Upo TANAPA au NGO kwa mzungu?Mi mbona diploma holder salary 1.7M.
Upo TANAPA au NGO kwa mzungu?Mi mbona diploma holder salary 1.7M.
Watu wanajiropokea tu, degree mwenyewe halipwi 1.4M we diploma upewe hio kama nani? Mishahara ya hivyo labda TANAPA naweza kubali ila sio taasisi nyenginezo. Au labda NGO kwa mzunguUnajua kuwa 1.4M ni mara mbili ya 700k?
Taasisi ipi hio? Haina jina?-kuna taasisi za serikali degree holder anaanza na 2,340,000/-
-kama degree holder anaanza na 2.34M diploma holder kuanza na 1,800,000/- sio ajabu.
-tofauti ya mshahara serikalini ni kubwa sanaWatu wanajiropokea tu, degree mwenyewe halipwi 1.4M we diploma upewe hio kama nani? Mishahara ya hivyo labda TANAPA naweza kubali ila sio taasisi nyenginezo. Au labda NGO kwa mzungu
-classifiedTaasisi ipi hio? Haina jina?
Tanesco kwa watu wa Diploma ya ufundi take home iko 1.7M to 1.8M kwa mtu ambaye yuko shirikani zaidi ya miaka 10,huyo wa certicate kula 2M sio kwelitanesco certificate anaweza fikisha zaidi ya 2M kama yupo transmissions ukijumlisha safari na safari haziishi ni kila mwezi
mmh,,, Acha nirudi chuo nikasome ITYap. Na ni taasisi maarufu kabisa. Iko wizara nyeti ambar waxir wake ndio yule alitumbuliwa juzi
Nina dip kama yako na nipo serikalini napokea 1.8 mil
tanesco certificate anaweza fikisha zaidi ya 2M kama yupo transmissions ukijumlisha safari na safari haziishi ni kila mwezi
Tanesco kwa watu wa Diploma ya ufundi take home iko 1.7M to 1.8M kwa mtu ambaye yuko shirikani zaidi ya miaka 10,huyo wa certicate kula 2M sio kweli
naongea kitu nakifahamu vizuri na nimesema kama yupo transmissions tena ni zaidi hiyo 2MTanesco kwa watu wa Diploma ya ufundi take home iko 1.7M to 1.8M kwa mtu ambaye yuko shirikani zaidi ya miaka 10,huyo wa certicate kula 2M sio kweli
ngoja nikupm salary slip ili uCHE SHOBOwewe haupo kwenye taasisi yoyote kati ya nilizozitaja unachotafuta in justification, hata Mimi naweza Sena nipo taasisi Fulani kusema no rahisi
Nonsense!!!bado ndo ninaelekea kuipata
ni kweli sio wafanyakazi wote but waliopo transmissions ni maradufu na ni kwa ajili ya safariDuh Duh Duh..
Nimefanya Intern pale Tanesco gas plant 1, baadhi ya wafanyakazi wakawa wanadai mpunga wao haufiki 1M na wanamuda mrefu kazini
tena ni 3m kasoroMilioni 2 kwa cerificate hahahahahahahahahahahahahaha,
tena ni 3m kasoro
lakin ujiandae kwa mionzi maana ni wenye kulipwa hizo ni wa zile tower na umeme unakuwa live na huwa kuna adhari baadaye according to mambo yalionwaBasi ukiona Mechanical Transfer za Tanesco tujuzane mzee kwa PM
nimekutumia slip ili uache ku spread missinformationwewe haupo kwenye taasisi yoyote kati ya nilizozitaja unachotafuta in justification, hata Mimi naweza Sena nipo taasisi Fulani kusema no rahisi
Uko sahihi sana.-kuna taasisi za serikali degree holder anaanza na 2,340,000/-
-kama degree holder anaanza na 2.34M diploma holder kuanza na 1,800,000/- sio ajabu.