Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

Taasisi zipi hizo??
Pia huo mshahara hauguswi boss kuna Safari bila kusahau,ni ngumu mtu uka expose hapa hivyo vitu mkuu ila jua kuna watu wanaishi maisha hayo Kwenye hizo Taasisi za Umma sizungumzii mimi Serikali kuu,Au wizarani maana humo ni kawaida tu take your time fatilia.
 
Kama umemwelewa vzr, ni kwamba salary scale yake ni TGS maana yake ni serikali kuu, siyo taasisi yenye salary scale yake.

Kwa hiyo basi TGS zote zipo na kiwango sawa kinatofautiana kwenye TGTS (Elimu) na TGHS (Afya).

Kwa case ya TGS kwa Diploma unaanza na kitu kama 525,000 kwa kada nyingine kwa kada ya IT mmnekuwa treated tofauti nadhani utaanza na 710,000.
Safi sana kwa jibu lako zur shukran
 
Back
Top Bottom