Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 437
- 317
Walewale!Me ndo nimetaka kujua mishahara ya mabalozi? We hujielewi eeh? Hebu pitia uzi huko juu uone nan kaanzisha bwege wee
Walewale!Me ndo nimetaka kujua mishahara ya mabalozi? We hujielewi eeh? Hebu pitia uzi huko juu uone nan kaanzisha bwege wee
K weWalewale!
Mwenyewe, uliyeishiwa hoja unaanza kutukana. Kwa heriK we
Tulia we waziri wa utopoloMwenyewe, uliyeishiwa hoja unaanza kutukana. Kwa heri
Nijuavyo ni kuwa mishahara ya mabalozi ni sawa na wanalipwa kwa T-shillings. Mishahara yao wanaingiziwa kwenye accounts zao hapa hapa nyumbani.Wadau,
Hivi Balozi wa Tanzania analipwa mshahara (Gross Salary) Shilingi ngapi kwa mwezi ?
Na mabalozi wote mishahara yao inafanana au inategemeana na nchi aliyopo?
Kuna ndugu yangu ni Balozi ila naona kama yupo yupo tu, hatumsomi.
Atakua balozi wa nyumba kumi huyo.Wadau,
Hivi Balozi wa Tanzania analipwa mshahara (Gross Salary) Shilingi ngapi kwa mwezi ?
Na mabalozi wote mishahara yao inafanana au inategemeana na nchi aliyopo?
Kuna ndugu yangu ni Balozi ila naona kama yupo yupo tu, hatumsomi.
Laki nane ambapo wauza K wa Exotic wanaipata kwa wiki?!800k
Ndo walivokudanganya?Laki nane ambapo wauza K wa Exotic wanaipata kwa wiki?!
Asilimia zaidi ya 95%+ maafisa ubalozi duniani kote ni watumishi wa Idara za Usalama wa Taifa husika.Maada juu ya maada.
Wadau mimi binafsi nimekuwa na hamu kubwa ya kufanya kazi ubalozini(nje),na ktk ishu zangu za kielimu nimepanga niapply Diplomacy &IR ili tu niweze fikia haya matamanio yangu.Je, kule ubalozini ninaweza kwenda kuhudumu kama afisa wa cheo cha chini! Kama ndio, ni vitengo gani ambavyo maafisa wa chini tunaweza hudumu!
Ondoa kitengo cha defence attache coz I'm not a soldier.
Fursa unayo pia, balozi anao waambata wa nyanja mbalimbali hasa Uchumi, ukizingatia ni wakati wa diplomasia ya Uchumi. Kaza buti.Asilimia zaidi ya 95%+ maafisa ubalozi duniani kote ni watumishi wa Idara za Usalama wa Taifa husika.
Narudia maafisa zaidi ya 95%+ ni watumishi ni majasusi.
Balozi tu ndio anaweza kuwa sio jasusi(kwa kuwa ni nafasi za kisiasa)ila waliobaki karibu wote ni majasusi.
Nadhani umeni quote vibaya sio mie ninayetaka nafasi ya uambata ubalozini.Fursa unayo pia, balozi anao waambata wa nyanja mbalimbali hasa Uchumi, ukizingatia ni wakati wa diplomasia ya Uchumi. Kaza buti.
Asante mkuu,pia ingesaidia general public kujua mshahara wa hawa viongozi wetu,hayo mengine kwamba ni ndugu yake sisi yasingetuhusu ilimradi jibu lake keshapewaSema na sisi wabongo changamoto mtu kauliza swali rahisi sana lakutaja amount anayolipwa balozi hilo tu kila mtu kaja na atack ya uswahili mtupu kama maswali madogo hivi unatokwa na mishipa mara je makubwa itakuwaje mtegemea cha nduguye (ulitaka akutegemee wewe .......tujaribu tengeneza platform nzuri kwa ajili ya watu kujifunza na kuget inspired .....sio tutengeneze kizazi cha shombo na uswahilin
Jina lake ni lipi mkuu?Ushamtaja jina tayar haalafu unauliza anaitwa nan
Ok ..poa mkuu😀😀Mbelwa Kairuki.
Thanks Kaka......ckujua kua yule mama anatembelea jina la mume wake nkajua la baba yakeBalozi Kairuki
Wadau,