Mshahara wa Balozi wa Tanzania

Mshahara wa Balozi wa Tanzania

Mwenzio kamua kutojionyesha maana huwa wanapewa fungu la matumizi kila ubalozi harafu wanafanyiwa (auditing) ukaguzi wa matumizi ya pesa za umma.

Subili mtamwelewa baada ya 2025, Jiwe kuachia chamwino.
 
Watu lazima wajifunze kutafuta vyao. Siyo kutegema wajomba, binamu, watu waliotoka nao kijiji kimoja nk. Mtu anaweza kukupiga tafu lakini kutegemea mtu anayehangaika kupata riziki ya famili yake akupe utajiri ni kutafuta lawama tu. Muuliza swali angeuliza mshahara kwa ujumla wake. Yeye kasema, "kuna balozi hamwelewielewi". Hapo ndio kuna shida. Balozi hata kama analipwa mil 20 kwa mwezi, anapanga maisha yake mwenyewe.
Sema na sisi wabongo changamoto mtu kauliza swali rahisi sana lakutaja amount anayolipwa balozi hilo tu kila mtu kaja na atack ya uswahili mtupu kama maswali madogo hivi unatokwa na mishipa mara je makubwa itakuwaje mtegemea cha nduguye (ulitaka akutegemee wewe .......tujaribu tengeneza platform nzuri kwa ajili ya watu kujifunza na kuget inspired .....sio tutengeneze kizazi cha shombo na uswahilin
 
Hapo inategemea ni balozi was wp! Na kahudumu nchi ngapi? Ukumbuke kuna nchi ni ngumu kuna vita bunduki,mabomu ni vitu vya kawaida halafu kuna nchi ni kukuna Nazi mfano mombasa, Dubai na kuna nchi ni mazoezi tu km China. Ukija UK ni EPL acha Marekani ni basketball so narudia tena itategemea na nchi mkuu
 
Una uhakika na unachokiongea?
 
Wadau,

Hivi Balozi wa Tanzania analipwa mshahara (Gross Salary) Shilingi ngapi kwa mwezi ?

Na mabalozi wote mishahara yao inafanana au inategemeana na nchi aliyopo?

Kuna ndugu yangu ni Balozi ila naona kama yupo yupo tu, hatumsomi.
Ikiujua mshahara wake utamletea tabu wewe; huchelewi kukusanya ukoo na kwenda kwa mh Balozi ili ule vinono
 
Wewe jamaa ni bonge la muongo

Ingekuwa hivo ofisi zote za umma zingekuwa na maslahi yanayokaribiana kwa wafanyakazi wao.
Hata kama taasisi ina mshahara viwango vyao binafsi (Saalary scales) kupitia financial regulations zao lazima zipitishwe na Wizara inayosimamia utumishi wa umma! Siyo kweli kuwa akina Mchechu waliamua tu 32M, hapana. Uongo uko wapi hapo?!
 
Anadhan Kila mtu yupo chini ya utumishi au tamisemi.si ajabu ukute ni "rimwarimu" huko wilayani nyang'hwale
Waziri yeyote akiteuliwa anapewa kitu kinaitwa "instrument", instrument ya kusimamia utumishi wa umma ipo kwa waziri mwenye dhamana hiyo haijalishi wewe unafanya Wizara ya Afya, Maji, Madini nk mambo ya maslahi ya watumishi yako wizara hiyo nidiyo maana utasikia kupandisha mishahara inasomwa huko, na waraka wa mishahara unatolewa huko. We a greater thinkers let us think to that level!
 
Hata kama taasisi ina mshahara viwango vyao binafsi (Saalary scales) kupitia financial regulations zao lazima zipitishwe na Wizara inayosimamia utumishi wa umma! Siyo kweli kuwa akina Mchechu waliamua tu 32M, hapana. Uongo uko wapi hapo?!
Umeelewa mantiki ya jamaa, hilo liko wazi mapendekezo ya mishahara ya taasisi husika lazma yaidhininishwe na katibu mkuu hazina pamoja na utumishi pale itakapoonekana taasisi ina uwezo wa kuilipa.

Lakini umeona hoja ya huyo jamaa? Ni tofauti na hili
 
Waziri yeyote akiteuliwa anapewa kitu kinaitwa "instrument", instrument ya kusimamia utumishi wa umma ipo kwa waziri mwenye dhamana hiyo haijalishi wewe unafanya Wizara ya Afya, Maji, Madini nk mambo ya maslahi ya watumishi yako wizara hiyo nidiyo maana utasikia kupandisha mishahara inasomwa huko, na waraka wa mishahara unatolewa huko. We a greater thinkers let us think to that level!
Wewe nae acha uongo waziri hahusiki na kukisia mishahara iliyo chini ya taasisi zake...

Msilishe watu matango pori, ngoja nikipata mda tutaelekezana vizuri kweye hili.
 
Wadau,

Hivi Balozi wa Tanzania analipwa mshahara (Gross Salary) Shilingi ngapi kwa mwezi ?

Na mabalozi wote mishahara yao inafanana au inategemeana na nchi aliyopo?

Kuna ndugu yangu ni Balozi ila naona kama yupo yupo tu, hatumsomi.
 
Waziri yeyote akiteuliwa anapewa kitu kinaitwa "instrument", instrument ya kusimamia utumishi wa umma ipo kwa waziri mwenye dhamana hiyo haijalishi wewe unafanya Wizara ya Afya, Maji, Madini nk mambo ya maslahi ya watumishi yako wizara hiyo nidiyo maana utasikia kupandisha mishahara inasomwa huko, na waraka wa mishahara unatolewa huko. We a greater thinkers let us think to that level!
Sawa tumekusikia waziri wa utopolo
 
Umeelewa mantiki ya jamaa, hilo liko wazi mapendekezo ya mishahara ya taasisi husika lazma yaidhininishwe na katibu mkuu hazina pamoja na utumishi pale itakapoonekana taasisi ina uwezo wa kuilipa.

Lakini umeona hoja ya huyo jamaa? Ni tofauti na hili
Naomba utoe ufafanuzi wewe ulivyoelewa.
 
Wewe nae acha uongo waziri hahusiki na kukisia mishahara iliyo chini ya taasisi zake...

Msilishe watu matango pori, ngoja nikipata mda tutaelekezana vizuri kweye hili.
Nimesema mwenye instrument ni waziri, na kila Wizara ina majukumu yake maalum mandate , naomba uelewe hoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom