We jamaa kama unanizungumzia mimi, huwa nakaa naongea na washkaji ila ikifika muda huo, unaweza kuongea nami ila akili iko mbali kabisa nawaza mishe.Aiseee ina dawa ni kutega tu, turun mambo yetu mitaani ....ni kuingia saa3 unatoka saa7
Hahahaha mm sielewagi kabisa kinachoendelea mpka nikae 8hrs job Basi siku hiyo Kuna semina ya posho au nimesafiri kikazi
We jamaa kama unanizungumzia mimi, huwa nakaa naongea na washkaji ila ikifika muda huo, unaweza kuongea nami ila akili iko mbali kabisa nawaza mishe.
mbona mm crdb mshahara haujaingiaKwetu bado sana
Sisi kwetu bado
mbona mm crdb mshahara haujaingia
Hataki kuongeza mishahara.Tuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo.
Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
Baadhi ya watumishi kahama mji mambo bado ayajasoma na sikukuuu ndo iyo na kwanini mwezi huu kumekuwa na waliopata kwa wakati na wasiopata kwa wakati tatizo liko wapi?
hawa ndio wana zamu za kwenda kunywa mkojo wa first lady! Juha kabisaMagufuli hapa anaingiaje? Huu ni ujuha!!
Mkuu mshahara haujatoka uzi Hakuna ukweli. Labda leo jioni ikishindikana mpaka 24/04
Unajua Mwezi wa 3 tulilipwa tarehe ngapi?Haya ni mafanikio makubwa sana kwa serikali hii kulipa mshahara tarehe 19.
Haijawahi kutokea toka uhuru wa Nchi hii. Magufuli hoyeeeeeeeeee.....
Haina ukweli siku hizi Wafanyakazi wote hupokea tarehe moja.Kuna halmashauri tayari toka tarehe 18 april
Ahaha...we jamaa wewe! Unadhani watu wanaoandika humu wanajifurahisha sio!?[emoji134] kwamba hawana kazi za kufanya?Haina ukweli siku hizi Wafanyakazi wote hupokea tarehe moja.
Haina ukweli siku hizi Wafanyakazi wote hupokea tarehe moja.
Wewe Mtu/Binadamu?We ni MTU au binadamu mbona auelewi tuseme hauna watumishi wenzako wa halmashauri tofauti na yako wakwambie!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe siyo mfanyakazi kabisaAhaha...we jamaa wewe! Unadhani watu wanaoandika humu wanajifurahisha sio!?[emoji134] kwamba hawana kazi za kufanya?
Kwa taarifa yako, mimi Mshahara umeingia Tarehe 18 Alhamisi usiku kabisa. Nimeamka Ijumaa alfajiri, nimekuta meseji ya kuingia kwa mshahara kutoka NMB MOBILE.
utakuwa umezoea kudanganywa huko kwenu na watu wanaokuzunguka.
Mkuu, nimesikia kuna Wizara na Idara za serikali kuu hazijapata mshahara hadi leo 20/4/2019Haina ukweli siku hizi Wafanyakazi wote hupokea tarehe moja.