Ni kweli mshahara wa CAG ni 4.7Million?

Ni kweli mshahara wa CAG ni 4.7Million?

DADY SMART

Member
Joined
Apr 24, 2025
Posts
43
Reaction score
92
Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M

Net pay ni 3.3milion

Maximum salary kwenye Government ni TZS ngapi ? Kwa directors

Mwenye updated information za salary scales mpya ,Please share

Kama CAG ni 4.7 M mbona huo ni mshahara mdogo kwa cheo chake na sifa?

Je Gavana naye atakuwa below 5milion
 
kwa hali ya uchumi wa tanzagiza huo mshahara ni sawa hasa ukiangalia uwiano wa mishahara ya wafanyakazi wengine na yeye lkn uki-factor in malipo yasiyo halali i.e yasiyo katwa kodi alipata labda hata mara 10 ya hapo, plus nyumba, analipiwa umeme, maji, mpaka mlinzi na hata vocha, gari /magari, dereva 24hrs, safari na allowances nyingine wengine mpaka watoto wanasomeshewa, usisahau wakistaafu wanalipwa zaidi ya milioni 500 pamoja na pensheni ya kila mwezi mpaka anaingia kaburini.

bottom line, communists wote wako hivyo, na usimuamini communist hata siku moja, they preach water and drink wine ...
 
Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M

Net pay ni 3.3milion

Maximum salary kwenye Government ni TZS ngapi ? Kwa directors

Mwenye updated information za salary scales mpya ,Please share

Kama CAG ni 4.7 M mbona huo ni mshahara mdogo kwa cheo chake na sifa?

Je Gavana naye atakuwa below 5milion
Hata wabunge salary yao ni milioni 4 ila kwa mwezi wanakunja 18m kwa BANKWA.
 
Muongo, wanalipwa zaidi ya 10 Millions just salary bado malupulupu mengine. Watanzania hatujawahi kuridhika hata mtu akunje 100 Millions kwa mwezi.
 
Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M

Net pay ni 3.3milion

Maximum salary kwenye Government ni TZS ngapi ? Kwa directors

Mwenye updated information za salary scales mpya ,Please share

Kama CAG ni 4.7 M mbona huo ni mshahara mdogo kwa cheo chake na sifa?

Je Gavana naye atakuwa below 5milion
utumishi wa umma ni kazi ya kizalendo na sio biashara ya kukupa faida na maslahi manono gentleman :1Head:
 
Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M

Net pay ni 3.3milion

Maximum salary kwenye Government ni TZS ngapi ? Kwa directors

Mwenye updated information za salary scales mpya ,Please share

Kama CAG ni 4.7 M mbona huo ni mshahara mdogo kwa cheo chake na sifa?

Je Gavana naye atakuwa below 5milion
Kwa hiyo mzee unataka kupingana na Prof au unataka kusemaje?ukishajua itakusaidia nini?fanya kazi.
 
Back
Top Bottom