Mshahara tayari, tutatoboa kweli 25.12.2016?

Mshahara tayari, tutatoboa kweli 25.12.2016?

wakuu wengine bana ..hamdaiwi kodi,ada za watoto...
nk

kamshahara kenu ni kupombeka tu, kununua vocha na kama bado huna Samsung au LG ukishanunua kwa ajili ya show off na kipanua viganja najua ni simu nene baas

Tatizo ni nini mnataka nini kama ni pichu zenu tunaziona ni zile zile hambadili..mnapovaa Kata Kei. Sometimes hanzifui


mnalalama ili nini....
Ila na wewe juzi tu ulikuwa unalalama, unaomba rais aruhusu mpange vitu vyenu barabarani tena, mmeruhusiwa unaleta kibri!!
Binadamu buana!!!!
 

Attachments

  • 11182016142816.jpg
    11182016142816.jpg
    14.1 KB · Views: 36
Leo nikiwa mjn katika pitapita zangu,s nikachomeka ATM card yangu kuprove km mshahara upo.Akaunt ikasoma unono, nipo nakata mwendokasi kidogo.

Ni jambo jemba lakin je , December 25 tutasalimika kweli?Na bado mwaka mpya January 01,2017.

Dah
hahahahahahaha hapo ndo mwezi wa kwanza unapokuwaga na siku 40
 
Hiyo serikal yenu ya Burundi mmewekewa salary mapema. SISI HUKU TZ BADO MKUU.
 
Hakika Rais anawajali sana wafanyakazi wake upande wa mishahara, nampongeza kwa hilo hata kama ni kidogo lakini kina kuna kwa wakati.
 
Mimi trick niliyotumia ni kuacha ATM card kijijini, sikukuu zikiisha naifuata
 
hahahahahahaha hapo ndo mwezi wa kwanza unapokuwaga na siku 40
Mkuu nipo kwa mafikirio makubwa sana...hivi hizi siku arobaini ntazikabirije kwa hizi laki tatu?

da! hivi JPM kwanini hatukumbuki watumishi at least atuongeze kidogo????
 
Leo nikiwa mjini katika pitapita zangu, si nikachomeka ATM card yangu kuprove kama mshahara upo. Akaunt ikasoma unono, nipo nakata mwendokasi kidogo.

Ni jambo jema lakini je , December 25 tutasalimika kweli? Na bado mwaka mpya January 01,2017.

Dah
We si mume wa waziri jomoni???
 
Back
Top Bottom