Mshahara tayari, tutatoboa kweli 25.12.2016?

Mshahara tayari, tutatoboa kweli 25.12.2016?

265f887af28c8eb2f5d0916b44bad95b.jpg
 
Leo nikiwa mjn katika pitapita zangu,s nikachomeka ATM card yangu kuprove km mshahara upo.Akaunt ikasoma unono, nipo nakata mwendokasi kidogo.

Ni jambo jemba lakin je , December 25 tutasalimika kweli?Na bado mwaka mpya January 01,2017.

Dah
Kwa laki zako hizo 5 kweli hutoboi......
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sidhani kama itabadili matumizi yako msimu huu.
 
wakuu wengine bana ..hamdaiwi kodi,ada za watoto...
nk

kamshahara kenu ni kupombeka tu, kununua vocha na kama bado huna Samsung au LG ukishanunua kwa ajili ya show off na kipanua viganja najua ni simu nene baas

Tatizo ni nini mnataka nini kama ni pichu zenu tunaziona ni zile zile hambadili..mnapovaa Kata Kei. Sometimes hanzifui

mnalalama ili nini....
 
Vipi Pensheni hazijawekwa na Christmas ndo imekaribia?.
 
Kama nakuona vile jinsi ulivyokenua baada ya account kuusoma unono. Punguza mwendokasi kidogo ili ujinusuru na kuweza kutoboa hadi baada ya mwaka mpya. Mambo aste aste mwendo kasi nomaaa!

Back
Top Bottom