jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,167
- 36,048
Hii itakuwa shirika la hayati mama mchungaji😃Depends… kwetu ni lazima iwe from CRDB or Equity.
😅😅Jaman vitu vishasoma huko, baada ya kazi mkutane viti virefu na vifupi
Mpaka j3Bado
Hauwezi fika huko mkuuMpaka j3
Weekend hawatoi mzee mpaka j3.Hauwezi fika huko mkuu
Tayari umeingia nusu saa iliyopitaWeekend hawatoi mzee mpaka j3.
😅😅Mwezi huu vipi? Naona bila bila sifuri sifuri hazisogei
Usicheke Kaka.. nina Timing zangu zinafeli hahaha
Tusubiri kwenye mida ya Mchana hivi Mama atacheka tuUsicheke Kaka.. nina Timing zangu zinafeli hahaha
Powa.. hamna noma, wacha tusubiri.Tusubiri kwenye mida ya Mchana hivi Mama atacheka tu
Pole mkuuWengine,hata wa july haujatoka😐
Hizi kazi za watu hatari
CRDB au NMB?
Ni changamoto sanaPole mkuu