Sina kitu inaitwa mshahara π siijui yanNyie Watumishi wa UN mshahara umeshasoma?
wengine tunatumia Bank uchwara, unakuta wenzio washajaza Grocery wanatwanga maji we ndio kwanza hata meseji hujapataKuna mtu namdai.. muwekewe huo mshahara anilipe.
Ila nyie watumishi wa Halmashauri mnazingua ππ
Kwani we mshahara ukiingia hupati sms? Kila mwezi lazima atokee wa kuuliza? Suburini Mpwayungu aje kuwapopoa
Bank uchwara ni gani? Watumishi si tuna NMB na CRDB tu?Mkuu
wengine tunatumia Bank uchwara, unakuta wenzio washajaza Grocery wanatwanga maji we ndio kwanza hata meseji hujapata
Jaman watu wanaulizia maokoto yao jaman hebu tuwaacheSina kitu inaitwa mshahara π siijui yan
Ndio maana hujawahi niona nauliza kama umeingia ama umetoka.
Why always nyie ndo mnauliza? Mkitulia tu kimya mshahara hauingii?
Mie nipo Tayari kukulipa hata kama hunidaiKuna mtu namdai.. muwekewe huo mshahara anilipe.
Ila nyie watumishi wa Halmashauri mnazingua ππ
Kwani we mshahara ukiingia hupati sms? Kila mwezi lazima atokee wa kuuliza? Subirini Mpwayungu aje kuwapopoa
Usiwaze Mkuu, Wala hadhaliliki mtuNdugu yangu, fanya ubadili huu mfumo wako wa maisha. Leo ndiyo kwanza ni tarehe 21! Unaulizia mshahara? Hivi hata kazi utakuwa unafanya kwa ufanisi kweli?
Vipi ikatokea wakatoa huo mshahara tarehe 25! Si utadhalilika mtaaani!!
Hapana,mshahara unaweza pitishia Bank yoyote unayopendezwa nao.ni wewe tu kuwapa HR namba ya account ya BankBank uchwara ni gani? Watumishi si tuna NMB na CRDB tu?
Naona na ww photo Lab imekufikiaKuna mtu namdai.. muwekewe huo mshahara anilipe.
Ila nyie watumishi wa Halmashauri mnazingua
Kwani we mshahara ukiingia hupati sms? Kila mwezi lazima atokee wa kuuliza? Subirini Mpwayungu aje kuwapopoa
sasa ukiwa mwajiriwa uwaze nini mkuu, kama sio mshahara! au rushwa?Mshahara! Ukiona fikra, mawazo, akili zinawaza Mshahara tayari umishafell na umasikini umeshakupiga ngwara!
Hauko Sawa mzee upate walau maji ya kunywaEty wakuu mnaotumia CRDB.. vipi mshahara wa mwezi September.. ushatoka...?