Mshahara mdogo hasira zote kwa wanafunzi

Mshahara mdogo hasira zote kwa wanafunzi

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
6,386
Reaction score
7,562
ImageUploadedByJamiiForums1384651836.565130.jpg
 
Dawa ni bakora tu ili kupunguza hasira za mshahara unaoishia tar 10 ya mwezi.
 
whats physics? lazima uta define tu, ukishindwa utaeleza kwa nini serikali inatulipwa mishahara midogo! :A S-confused1:
 
Kama mshahara hautoshi tafuta utaratibu mwingine wa maisha ila kwa style hiyo utakuwa unajijengea uadui na hao wanafunzi ambao iko siku hawatakuwa wnafunzi tena pia unaweza kujiletea kesi kwa kuumiza watoto wa watu ukaingia katika matatizo ambayo hukuyatarajia maishani. Hasira hasara.
 
Haaahaa watoto walivo wehu kule st.kayumba unakuta mwl kashamtandika mtu bakora akichanganya na hacra zake za mshahara njiwa wa JMT
 
whats physics? lazima uta define tu, ukishindwa utaeleza kwa nini serikali inatulipwa mishahara midogo! :A S-confused1:

Ukikumbuka hm haujaacha ht ya mboga afu ni tar 8 kule dukani kwa mangi una deni haahaaaa msala unamwangukia mwanafunzi
 
aisee, nguvu kubwa sana, hapo anamuwaza Mulugo
 
na kwa wale wanafunzi wa kike ni kuwatia MIMBA TU hawa sio walimu bali wendawazimu
 
Back
Top Bottom