Mmakonde nakupa senksi
kinachoonekana hapa ni kundi la mafisadi wengine ambao labda nao wako katika mkondo huo huo wa kupata hizo fake Phds, sasa wanawashwa na Msemakweli.
Kama hutaka usisome, na TUC imewashauri wapeleke vyeti vyao kujisafisha sasa tatizo liko wapi, siwapeleke.
Na mwisho kama hilo halitoshi ili wajisafishe zaidi wanede mahakamani kumshitaki Msemakweli si kawachafua.
Acheni udwanzi wa kuteteana hapa ni mafisadi na Msemakweli Big Up, huu ni mwanzo mzuri, with spelling mistakes or not... ujumbe umefika loud and clear!!!
Wasalaam
Tuwe wakweli...Msemakweli amesema kweli kwa takwimu ambazo yeye anazo..Hivyo hao unawaita waheshimiwa kama Wamekashifiwa wende Mahakamani..kwani huko ndo haki hupatikana na Msema wongoi na Msemakweli atajulikana...sasa wewe ndugu yangu..unataka akupe reference ili iwe nini..alichokisema anakiamini kutokana na ushahidi aliokuwa nao...nway.. may be uko pamoja na hao mafisadi wa Elimu...But na wewe kosoa kwa hoja na sio as yo did..I hope ur Tsh 3000 is nothing kwa msemakweli...Kipi bora ur 3000 au to be Jailed..We vipi....Think critically pumbavuuu....!!!
Unless sheria zetu ziko tofauti lakini hao ni public figures so hawawezi kwenda mahakamani.
You spot....ameeleza bila kuweka reference. Hata kama allagetion zake ni za kweli, siwezi kuamini kwa sababu hajatoa sababu za kuniaminisha. Tufikirie inside and outside, left and right, top and down, parallel and perpendicularly.
Msemakweli anaweza kuwa kasema kweli, but what is the authentication anayoyasema. Kila mtu akipublish speculation zake itakuwaje nchi hii?
Ndugu Kibanga umekasirika kwa sababu nimetoa arguments za kisomi au? Narudia kusema I decided to challenge Msemakweli on his own ground. Yeye kaja na maelezo hayo akijifanya kuwa ni msomi ilihali katuletea umbea. Nimesema mimi nisichokubaliana naye siyo kuwa hao waheshimiwa ni wasomi fake au kinyume chake. Hapana. Mimi ninasema hoja zake hazina msingi wa kisomi. Ndugu Kibanga try to control your emotions by being objective. Kuandika hapa hata kama nigetakiwa kulipa ningelipa tu. Sema sasa la sivyo just shut up man!!
Ndugu Masanja naona nihame kidogo kutoka kwenye mada ya msingi. Kuna kitu kimoja ambacho naona baadhi ya Watanzania wanapenda kuiga vitu ambavyo wakati mwingine huwa hawaelewi chimbuko lake na bila ya kuzingatia itifaki. Na hili nimeliona kwa MCs wengi. Utakuta wanapomtambulisha mtu wanamuita mheshimiwa ilhali hana sifa za kiitifaki kuitwa mheshimiwa. Unamkuta hata mbunge anapojitambulisha anasema "mimi naitwa mheshimiwa Marigwe" wakati adabu ya lugha inataka ujiite tu mimi ni Marigwe. Sasa uje ukutane na wasanii au hata waganga wa kienyeji "mimi naitwa profesa Marigwe". Kwa hali hii ambayo ilikuwa ni speciality ya wasanii wanasiasa nao kutokana na usanii wao nao wametumbukia huko mpaka kutafuta vyeti fake. Ili aitwe tu Doctor Marigwe wakati hizo sifa hana. Wanasiasa wengi wa Tanzania wanalewa na titles kabla ya majina yao. Ni wenda wazimu wa kijinga tu. Jitu lilipokuwa secondary likuwa failure sasa limepata hela kwa njia ambazo pia za kiujanja na kilaghai anataka ili akamilike aitwe profesa. Hao ndiyo wazazi amabo wako tayari watoto wao waibie mitihani. Jamani hili linatisha. Ndiyo maana weledi unapotea pole pole. Unamkuta mtu wa cheo cha Juu mahakamani au Polisi hajui hata vipengere vya kawaida vya sheria iwapo ni kosa au siyo kosa kwa raia kuwa pingu mpaka miundwe tume. Hivi leo inakuwaje hukumu ya High Court iruhusu mgombea binafsi na Attorney General asielewe the full implications za ruling hiyo avute miguu karibu mwaka mzima kukata rufaa? Ni ukihiyo all the way ndugu zangu
Marigwe said:4. Kijarida cha Msemakweli ni majungu ambayo yamejaa fitina na chuki tu. Naomba mnielewe. Mimi sijasema kuwa hao Waheshimiwa wana vyeti halali au vya kughushi. Mimi niachosema ni kuwa maelezo ya Msemakweli hayawezi kukubalika kirahisi bila ya kuwa authenticated scientifically. Na huo ndiyo usomi. Msemakweli anadai kuwa waheshimiwa hao ni mafisadi wa elimu na yeye je? Kundi lake ni lipi. Anajiita mwanasheria. Hivi mwanasheria utafanya madai bila ya kuyathibitisha na vielelezo?
Jana nilikinunua kijarida kilichoandikwa na Ndugu Msemakweli, Kijarida hicho kinauzwa shs 3,000.MAFISADI WA ELIMU
Na kwa sababu sisi watanzania tunapenda sana habari za umbea kwa upumbavu tulionao tutanunua tu hicho kijarida na yeye atapata hizo pesa bila ya jasho.