Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
"Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu."
“Mytake”
Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi kushindwa kwa Irani ni kwa 99%.
Harafu huyohuyo aliyeshindwa kwa 99% ndiyo anabwabwaja kuishambulia Israel bila kusita hiyo ndiyo Taqiyyah kweli kweli!!
Wakati Wafanyikazi wakuu wake wote na vifaa vya nyuklia viliangamizwa kwa siku 12 - je, kwa nini hawa kushambulia bila kusita wakati huo?