LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,790
- 41,283
wahuni wa awamu hii wanajifanyia mambo bila kikwazoKwel Wahuni sio watu duh.

Naam natilia mashaka sana hili tangazo laoPolisi anataka kuua watu kwa njia mpya
zinapita barabarani sio vyumbani!
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema kwamba tayari Jeshi hilo limechua hatua kuhusu magari yaliyokuwa na namba za usajili SSH2530 ambapo amesema kwamba kwa sasa magari hayo hayataonekana.
Amesema kwamba baadhi ya magari yenye namba hizo yamekamatwa huku akitoa wito kwa Wananchi watakaoziona gari zenye namba hizo kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili hatua ziweze kuchukua.
Amefafanua kuwa kama 'plate number' hazipo kwenye mfumo rasmi uliohalilishwa na Serikali hizo zinakuwa sio sahihi.
Hayo ameyasema leo Agost 29, 2025, katika mdahalo wa Kitaifa kuhusu usalama wa waandishi wa Habari kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 ambao umewakutanisha waandishi wa habari na wadau wa vyombo vya habari.
Ikumbukwe kumekuwepo na mjadala katika mitandao ya kijamii hususani JamiiForums kuhusu uhalali wa gari zinazotomia namba hizo.
Pia soma
Ziuzwe kwenye mnada wa hadhara.Baada ya kuzikamata mmechukua hatua gani?
Yule kijana tapeli wa Kyela wamemfanya nini?Ziuzwe kwenye mnada wa hadhara.
Inasemekana watu wanazilipiaBaada ya kuona uchaguzi unakaribia na upepo haueleweki wananchi wameamka wanaanza kujidai wanashughulikia mambo fulani.
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema kwamba tayari Jeshi hilo limechua hatua kuhusu magari yaliyokuwa na namba za usajili SSH2530 ambapo amesema kwamba kwa sasa magari hayo hayataonekana.
View attachment 3457745
Amesema kwamba baadhi ya magari yenye namba hizo yamekamatwa huku akitoa wito kwa Wananchi watakaoziona gari zenye namba hizo kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili hatua ziweze kuchukua.
Amefafanua kuwa kama 'plate number' hazipo kwenye mfumo rasmi uliohalilishwa na Serikali hizo zinakuwa sio sahihi.
Hayo ameyasema leo Agost 29, 2025, katika mdahalo wa Kitaifa kuhusu usalama wa waandishi wa Habari kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 ambao umewakutanisha waandishi wa habari na wadau wa vyombo vya habari.
Ikumbukwe kumekuwepo na mjadala katika mitandao ya kijamii hususani JamiiForums kuhusu uhalali wa gari zinazotomia namba hizo.
Pia soma
Umekula nini jamaa? Nimejikuta nacheka kimyakimyaKwamba Hadi kwenye msafara WA nchimbi tupige simu?
Shida sio kulipia au kutokulipa. Shida ni registration number hio hio kutumika na magari mengi hadi wauza ngada wa kino nao wanatumia.Inasemekana watu wanazilipia
Ova