Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Katiba... Katiba.,.. KatibaSuala la kukamatwa kwa mbowe na la huyo manara ni Mkakati wa kututoa kwenye kodi ya uzalendo. Achaneni nao hao! Let's back to our mainstream topic.
Katiba... Katiba.,.. KatibaSuala la kukamatwa kwa mbowe na la huyo manara ni Mkakati wa kututoa kwenye kodi ya uzalendo. Achaneni nao hao! Let's back to our mainstream topic.
Kodi ya uzalendo ni mbinu ya kututoa kwenye vuguvugu la katiba mpyaSuala la kukamatwa kwa mbowe na la huyo manara ni Mkakati wa kututoa kwenye kodi ya uzalendo. Achaneni nao hao! Let's back to our mainstream topic.
700 Tshs?? Au USD??Kasema analipwa seven hundred
Hakusema kama ni Tsh au USD700 Tshs?? Au USD??
Ndiyo maana alikua na hasira sana dhidi ya waandishi wa vyombo vya habari vyenye uhakika wa kuwalipa waandishi wao mishahara mizuri!Mbwembwe, kejeli na mijitusi yote Ile kumbe mwamba alikua analipwa Kama Haus gel wa Masaki......
Hata akisikia hiyo voice ya Hans pope hawezi kuelewa.Tafuta clip ya Zacharia Hans Pope ina majibu ya swali lako
Napenda sana comment zako.Ndiyo maana alikua na hasira sana dhidi ya waandishi wa vyombo vya habari vyenye uhakika wa kuwalipa waandishi wao mishahara mizuri!
Ila Mbumbumbu fc nao wanajitahidi kufinya mishahara ya waajiriwa wake!! Kazi kuisema tu timu ya Wanananchi! Huku wenyewe wakiwa na madudu chungu nzima!!
Tshabalala na kuhangaika kote kule uwanjani, eti na yeye alikuwa analipwa milioni 1.5!!
Baada ya Meneja wake kutoka hadharani, ndiyo wakaona aibu na hivyo kumuongezea kidogo!