Msemaji wa Lipuli analipwa laki tisa, Haji analamba laki saba hivi ni haki hii?

Suala la kukamatwa kwa mbowe na la huyo manara ni Mkakati wa kututoa kwenye kodi ya uzalendo. Achaneni nao hao! Let's back to our mainstream topic.
Kodi ya uzalendo ni mbinu ya kututoa kwenye vuguvugu la katiba mpya
This is Afrika my friend
The majitaka politics on the move!
 
Mnaweza kuwa chama kubwa kumbe wanyonyaji. Lakini wafuga simba wote wanaishi maporini ambako maisha ni rahisi....mshahara unamtosha.
 
Kwa speech aliyotoa mi naona hata hiyo laki saba hastahili maana hana weredi katka majukum yake, alifaa alipwe 250 au 350k.
 
Laki 7 hamajamtendea haki kabisa ndio maana akaanza kutafuta alternative Azam,Asas na GSM.
 
Manara hakutakiwa kulipwa hiyo pesa kutokana na kazi kubwa anayoifanya Simba na ana ushawishi mkubwa sana kwa washabiki wao...aisee kazi ipo
 
Mbwembwe, kejeli na mijitusi yote Ile kumbe mwamba alikua analipwa Kama Haus gel wa Masaki......
Ndiyo maana alikua na hasira sana dhidi ya waandishi wa vyombo vya habari vyenye uhakika wa kuwalipa waandishi wao mishahara mizuri!

Ila Mbumbumbu fc nao wanajitahidi kufinya mishahara ya waajiriwa wake!! Kazi kuisema tu timu ya Wanananchi! Huku wenyewe wakiwa na madudu chungu nzima!!

Tshabalala na kuhangaika kote kule uwanjani, eti na yeye alikuwa analipwa milioni 1.5!!
Baada ya Meneja wake kutoka hadharani, ndiyo wakaona aibu na hivyo kumuongezea kidogo!
 
Napenda sana comment zako.
Ni fupi fupi zenye mantiki na za kistaarabu.
Wewe Kama sio sheikh lazima utakua kasisi.
Halafu komenti Zina weledi.
Hongera kwa uungwana. Ukija mitaa ya Kimara nitafute Kuna sehemu wanatengeneza juice OG.
 
Sasa mtu hata Shahada ya kwanza hana , unawezaje kumlipa zaidi ya laki 7 ?

Huo utakuwa uvunjifu wa haki za binadamu
 
Manara pambana na hali yako.Sisi mbna tunalipa tozo na hatujirekodi tukiwa tunalia?
 
Lipuli haina msemaji wala uongozi. Kuna jamaa anaitwa Julius Sawani ndio amejitolea kuiongoza.
Lipuli hawana hata mia. Nawafahamu vizuri.
 
Back
Top Bottom