Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene mbona hasikiki muda mrefu kama msemaji? Yuko wapi?

Kila taasisi huwa na utaratibu kuna viongozi na wasemaji wa taasisi nauliza msemaji wa taasisi chama cha Chadema alikuwa Makene sasa hivi msemaji wa Chadema nani? Mbona swali liko straight halina kona kona
Mama Yako Kwa Sasa ndie msemaji mkuu wa chama kikuu Cha upinzani Tanzania
 
UJINGA, UMASIKINI, MARADHI na cousin wao RUSHWA wametamalaki nchini,usemaji wa CDM unakusaidia nini kujua ili upigane na maadui hao?, 60yrs ya kujitawala huku lingusenguse bado watu wanalimia meno
Sasa wakimwajiri wa nini kama msemaji wa Chadema?
 
1. Makene hayupo chadema.
2. Alihama chadema baada ya mke wake kutimkia NCCR.
3. Cha ajabu mwanamke alipomaliza ubunge 2020 akadai talaka na mwanaume.
4. So Makene akabaki kwenye dilemma akashindwa kurudi so ikabidi ajisalimishe, amebaki kumsifia Mama samia kila kukicha huko twitter
5. Msemaji hatuna chadema ila tuna kurugenzi ya mawasiliano na itifaki iliyo chini ya John Mrema
Mrema?

Duh iki chama kila boss mchaga
 
Back
Top Bottom