Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene mbona hasikiki muda mrefu kama msemaji? Yuko wapi?

Unataka mimi nikupe ushahidi wa mnavyoibiwa na genge la mbowe?
Mwehu wewe endelea kukamuliwa pesa zako kwanza,ushahidi ntakupa tu Nyumbu shoga wewe,
 
Ugomvi wako na Lema usikufanye ukaleta habari za kijinga.Tuletee ushahidi wa alivyotafuna bajeti wakati wa Makene.Umeshindwa kuleta ushahidi unaanza kuchungulia tupu zako za nyuma?
Unataka mimi nikupe ushahidi? Endelea kukamuliwa tu pesa zako nyumbu shoga wewe,Mbowe na mabilionea wenzie waote matumbo,ntakupa ushahidi ukianza kupata utapiamlo kwenye familia yako na kustuka hela zote unawapa kina Meya Jacobo
 
Kuandika lugha za kijinga huku umevaa pampas hakukufanyi uonewe huruma.Ushahidi ni muhimu uulete na uaminike.Usilete utoto ukapigwa miti vichakani.
 
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na yanga nk vina wasemaji active msemaji wa Chadema Makene yuko wapi hasikiki kulikoni?

Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda mrefu yuko wapi .Chadema tuelezeni kwa nini hasikiki?
Na CCM msemaji wake ni nani na huwa anasema nini?
 
Makene Msemaji yuko wapi mbona hasikiki kama msemaji wa Chadema muda mrefu Chadema tupeni majibu
1. Makene hayupo chadema.
2. Alihama chadema baada ya mke wake kutimkia NCCR.
3. Cha ajabu mwanamke alipomaliza ubunge 2020 akadai talaka na mwanaume.
4. So Makene akabaki kwenye dilemma akashindwa kurudi so ikabidi ajisalimishe, amebaki kumsifia Mama samia kila kukicha huko twitter
5. Msemaji hatuna chadema ila tuna kurugenzi ya mawasiliano na itifaki iliyo chini ya John Mrema
 
Kuandika lugha za kijinga huku umevaa pampas hakukufanyi uonewe huruma.Ushahidi ni muhimu uulete na uaminike.Usilete utoto ukapigwa miti vichakani.
Inaonekana wewe utotoni ulifanyiwa vitendo vibaya sana,na haukunyonya vizuri.endelea kuchangia ntakupa ushahidi nikijiridhisha hautazimia.
 
Bado unaendelea kuhisihisi vitu badala ya kuleta ushahidi unaoaminika?Wewe unaonekana hata kwa mumeo huwa unavua gagulo na kulificha chini ya mto kwa kutojiamini ni mchafu.
 
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na yanga nk vina wasemaji active msemaji wa Chadema Makene yuko wapi hasikiki kulikoni?

Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda mrefu yuko wapi .Chadema tuelezeni kwa nini hasikiki?
Alishaondoka chadema zamani sana.
Msemaji hatuna, kuna kurugenzi ya mawasiliano na itifaki iliyo chini ya John Mrema
 
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na yanga nk vina wasemaji active msemaji wa Chadema Makene yuko wapi hasikiki kulikoni?

Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda mrefu yuko wapi .Chadema tuelezeni kwa nini hasikiki?
alie wahi kua mnyang'anyi ndie msemaji wa cdm kwa sasa 🐒
 
Chama cha watu wachache hicho,Makene alikuwa mtiifu sana lkn Lema akawa anabwia bajeti yake ktk idara ya usemaji sababu Lema na Mbowe ni ndugu wa damu.

Makene akaona awaachie wenyewe wazikane,ndio maana tunawaambia hao jamaa ni wahuni kupitiliza.
Mkuu wahuni ana wajua pole pole! Usisingizie watu! Tafuta Jina lingine! 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom