MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 886
Eti pius msekwa anasema CCM haiwezi kushindwa, akumbuke kuwa Moi alisema kuwa KANU haitaondoka madarakani hadi baada ya miaka 100, lakini anajua kilichotokea. Tanzania ya leo si ya zamani, na CCM ya leo si ya Nyerere.