Same to melastman
Ivi kati ya msekwa na nape nani ni msemaji wa chama? mm naamini kauli ya msemaji ndiyo imetoka chumbani kabisa. labda nape alaumiwe kwa kusema siri za chama hadharani
Nape Nnauye ni Katibu mkuu mwenezi Itikadi wa CCM, yeye ndiye msemaji rasmi wa CCM kitaifa.
Alichosema Nape ndio kauli rasmi ya CCM.
Hata mimi nakubaliana na wewe. Nape ni msemaji wa chama na chama hakijakanushalastman
Ivi kati ya msekwa na nape nani ni msemaji wa chama? mm naamini kauli ya msemaji ndiyo imetoka chumbani kabisa. labda nape alaumiwe kwa kusema siri za chama hadharani
Haiwezekeni mchezaji makini aliejindaa kwa mechi afunge bao kwa mkono. Goli kama hilo litafutwa na refa. Naomba wananchi wapuuzie maneno ya upuuzi kama hayo.
Kufunga goli la mkono ni faul na moja kwa moja litakataliwa na refa ambayo ni Tume ya Uchaguzi. Kauli mbaya kama hizo zinaweza kufanya Wananchi kukosa imani na Serikali na kuleta machafuko na ninaamini haya ninayoyasema ndio msimamo wa chama changu.
Pius Msekwa.2.07.2015 (ITV, kipindi cha Mzelendo).
Huyu nape sijui alipataje hii post.
Huo ndo ukweli kaka jamaa amevujisha mipango yao
Nape kaongea ukweli, hilo halina ubishi... Mikina Msekwa hii inaishi kwa mazoea ya kudanganya!
Huyu nape kila ye ni kuharisha tu sijui hilo tumbo lake litafunga lini,many times anazungumza hovyo hovyo tu ila mwisho wake umeshawadia hata ubalozi wa nyumba kumi hata kaa upata