zaleo
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,902
- 766
Wakati ule mashine maalum ya kunasa magoli ya mkono hayakuwapo, sasa yapo na isitoshe timu pinzani zimejizatiti zaidi kwa vioneo magoli ya mkono zaidi sasa kulikoni zamani. Si umeona jana UKAWA hawakutoka bungeni kushupalia kutolazimishwa kuwa rubber stamp liwe lisiwe na wakagoma kutoka nje ili ccm na serikali yake washindwe kupitisha uchochoro wao bila kupingwa kama kilichotokea Zanizibar?Kama refa (tume ya uchaguzi)wanauwezo wa kuzuia goli la mkono mbona hawakuweza kuzuia magoli ya mkono kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa wakati yalikuwa mengi sana mpaka vipofu walikuwa wanayaona.