MSD kuleta dawa ya kuacha kunywa pombe

MSD kuleta dawa ya kuacha kunywa pombe

MCD tafsiri yake ni MEDICAL STORES DEPARTMENT ipo kwa mujibu wa sheria na inaagiza dawa zote za
Kinga ya magonjwa mbalimbali
Tiba ya magonjwa mbalimbali yaambukizayo na yasiyoambukiza
Vifaa tiba mbalimbali

Je unywaji wa pombe uko kwenye category gani ya ugonjwa mpaka ziagizwe dawa za kuacha pombe?
 
Check na Mirembe mkuu
 
Bohari Kuu ya Dawa Tanzania (MSD) imesema ipo mbioni kuleta dawa ya kusaidia kuacha pombe, ili kusaidia wenye changamoto ya uraibu wa pombe.

View attachment 3578632
Meneja wa MSD Kanda ya Dodoma, Mwanashehe Jumaa amesema dawa hizo zitatibu uraibu wa pombe na si sigara.

MY TAKE:

Viwanda vya pombe ndo vinaongoza kwa kulipa Kodi. Je, MSD imedhamiria kumhujumu Samia?

Bado naamini hizo dawa zita-expire zikiwa Store. Nani kawaambia tunataka dawa?

Bora mnngeshauri wanywe Baltika
Ya kweli hayo mkuu
 
Ya kweli hayo mkuu
Screenshot_20260425_221405_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom