Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,212
- 42,076
Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa. Nimepata wasaha kuusikiliza wimbo husika ni wazi kabisa wamelipa hela za bure.
Kwa level za wimbo wa sukari ulipokuwa umefikia Msanii Chuchu alipaswa kuja na wimbo bora zaidi ya huu. Huu wimbo ni wazi tumepigwa tena mchana kweupe.
Binafsi nimekuwa dissapointed sana
Kama umepigwa kama mimi comment hapo chini kwa kusema hiki ni kipigo cha mbwa koko.