Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,660
Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu
Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya mkewe alipokuwa na afya njema
Facebook
www.facebook.com