Msanii wetu wapinzani ni Baba Levo, tumuunge mkono wengine wametusaliti

Usiwachukie wasanii waliotumbuiza CCM na kuwaweka kwenye kundi la siasa. Wao walialikwa kwa malipo, kwa hiyo walikwenda pale kibiashara. Hawajagombea cheo chochote ndani ya CCM, na wala hawakuwa wana single-out chama cha kudiss, bali walikuwa wanasifia CCM ambaye ndiye aliyekuwa mwenyeji wao, na kudiss vyama vingine vyote. Ndiyo asili ya mashindano hiyo.

CHADEMA nayo ikiwataka iwaalike tu wakubaliane malipo, utashangaa kuwa watakwenda kutumbuiza CHADEMA na vile vile kuimba nyimbo za kuisifu CHADEMA na kudiss vyama vingine kwa sababu wao ni wafanya biashara.
 
Wakuu
Tumuunge mkono Baba Levo maana wengine wameamua kutusaliti wameenda kula pilau huko Dodoma sasa sisi tuendelee kumshika mkono Baba levo.

Nadhani mmeona wenyewe tulivosalitiwa na hawa wasanii hadi sio poa.
Ananikera Sana kujipendekeza kwa shirole na kumponda Uchebe sijui Tu kwann haya manundu saba kwann Uchebe asingempa huyu ngochiro
 
Back
Top Bottom