Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Awilo kidume cha MbeyaWho's this guy.....π€
Ohhhh basi huyu Ndaule nimemuona pale Saza wakati napita kuelekea Mkwajuni...π€£Awilo kidume cha Mbeya
Wape hi Mbuyuni wambie kamanda kipara bado nipo nadundaOhhhh basi nimemuona pale Saza wakati napita kuelekea Mkwajuni...π€£
Umejuaje mkuu?Msanii wenu ana agenda zipi, mbona haeleweki. Kama kuna washauri wake wanasoma uzi huu wamfikishie ujumbe, anakoelekea ni kubaya.
View attachment 3591216
Vipi unayo πInaitwa Ikweji π
Enhee 2β¦. π€£ Ila sizipendi sababu mi chaufupi.Vipi unayo π
Yesu, show me pulizii π πEnhee 2β¦. π€£ Ila sizipendi sababu mi chaufupi.
Weeee! πππ»ββοΈYesu, show me pulizii π π
Nadia buhari kuja hapa πWeeee! πππ»ββοΈ
Dah hili jina linanichanganya! Ujue yule mama mzuri sana mweh! Afu ana helaaaaaa!Nadia buhari kuja hapa π
Yule mmama ni pisi hadi sasa hivi, halafu kibongo bongo we ndio ume take place yake ππ¦Dah hili jina linanichanganya! Ujue yule mama mzuri sana mweh! Afu ana helaaaaaa!
Mzuri toka akiwa mdogo hadi now mshangazi, Afu sijui kafanya surgery sa hiviβ¦. Yuko lelelele π₯