Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Nadia yupi sasa wa bongo au ghana 😅😅Intelligent businessman lete picha ya Crush wako Nadia
Nadia yupi sasa wa bongo au ghana 😅😅Intelligent businessman lete picha ya Crush wako Nadia
dah kwa hili sikai kimya, walicho pishana ni age na hela maybe.Umeanza kumuongopea mtoto wa watu 😁😁🙌
Ila watu 🤣
Who's this guy.....🤔
Nahisi mtoa mada hajawahi kufurahia maisha hata kidogoKupangiana lifestyle ni moja ya vitu ambavyo vinafanya tusifurahie muda mfupi tulionao hapa duniani
being an artist has become a free pass to push any bullshit into society under the guise of informing the public.🫠
Fundamentally, being an artist is honor madness. 🤣🤣🤣Anasema Hating for what?
Kazi yake inahitaji kuwa hivyo , angekuwa hafanyi sanaa ingekuwa sahihi kuuliza maswali kama hayo .
Uwiiiiii Zambi unazojikusanyia!dah kwa hili sikai kimya, walicho pishana ni age na hela maybe.
Ila ki uzuri binti kiziwi na nadia og ni mule mule eishh 😊🦅
😂😭Kwa ukilipigilia huwa unadundika kwa madaha kama woodcock bird walk 😅
Nadia punguza kuwa humble!Uwiiiiii Zambi unazojikusanyia!
Msanii, anatamba na kibao cha Nitarejea.Uyu dogo ndio nani uko mjini by the way,sura sio ngeni sana
ni kubayaKijana wangu Monetary doctor, akiona hii..... 🤔. kwanza ngoja nimpokonye simu.
"Pepo Toka...", Pasta Pius Mwiru.ni kubaya
tuungane na Pasta Pius Mwiru kutoka nchini Kenya"Pepo Toka...", Pasta Pius Mwiru.
Oyaa! Usinikumbushe enzi zile KBC sauti ya mkenya ilipokuwa ya moto 🔥.tuungane na Pasta Pius Mwiru kutoka nchini Kenya
omuga kabisae unampata, vipi kuhusu Jeff Mwangemi kila saa nane na kipindi cha reggae, je kuhusu Betty Torochichi, mzee wetu R.I.P je huu ni uungwana ?Oyaa! Usinikumbushe enzi zile KBC sauti ya mkenya ilipokuwa ya moto 🔥.
We acha tu yaani! Saa hii eti Redio 47 ndo inafanya vyema kwa Kenya yote 🤔.omuga kabisae unampata, vipi kuhusu Jeff Mwangemi kila saa nane na kipindi cha reggae, je kuhusu Betty Torochichi, mzee wetu R.I.P je huu ni uungwana ?
Kazi yake inahitaji kuwa hivyo , angekuwa hafanyi sanaa ingekuwa sahihi kuuliza maswali kama hayo .