Msanii wa bongo mzux ukipanda anawaza kuvua nguo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
AFANDE.jpg

mia
 
Akaaaaaaaaaaaa! nakwambia kaivua suruali na mkono kuishika sijui ndio raha za kuimba full burudani...
 
Hivi kuna audience hapo mbele yake kweli?
Au alikuwa anafanya zoezi akiwa na wapambe zake kabla ya onyesho!
Kama kuna watu mbele yake, basi wote ni wapambaaf!
 
hapa nadhani alikuwa kwenye mazoezi.....asingeweza kufanya utukutu mkubwa kiasi hicho kwenye kadamnasi "tena mbele za watu" tehe tehe....bange bange bange..ilisabisha nivue nguo...bange bange bangeee
Hivi kuna audience hapo mbele yake kweli?
Au alikuwa anafanya zoezi akiwa na wapambe zake kabla ya onyesho!
Kama kuna watu mbele yake, basi wote ni wapambaaf!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom