Msanii wa bongo mzux ukipanda anawaza kuvua nguo

Kama hujawahi kuona uchi wa msanii ndo anataka awaONYESHE ULIVYO
 
Hivi kuna audience hapo mbele yake kweli?
Au alikuwa anafanya zoezi akiwa na wapambe zake kabla ya onyesho!
Kama kuna watu mbele yake, basi wote ni wapambaaf!

siku hiyo ukumbi ulijaa hadi wengine wakazuiliwa kuingia. watu waliokuwepo hawakuwa wapambaaf, walikua ni binadamu kama wewe. over
 
siku hiyo ukumbi ulijaa hadi wengine wakazuiliwa kuingia. watu waliokuwepo hawakuwa wapambaaf, walikua ni binadamu kama wewe. over
Labda walikuwa binadamu wa jinsia ya kike!
Lakini wanaume watavumilia vipi mtu anachezea dudu mbele yao!...shiit!
 
huyu ni afande sele siku ile ya mpambano kati ya wanaume tmk(wakina temba) na wanaume halisi(wakina sir nature) pale dimond.mia

Amejenga heshima yake kwa muda mrefu sana, anaigaragaza kwa dakika moja! Mfalme wa Rymes!!!!!!!!
 
"hiyo mibangi wanayovuta ni stimu za kulanduka...kama sio fani yako kwa kweli utaumbuka".........by sir nature...wimbo sikumbuki.
 
"hiyo mibangi wanayovuta ni stimu za kulanduka...kama sio fani yako kwa kweli utaumbuka".........by sir nature...wimbo sikumbuki.

jinsi kijana by sir nature.
....jinsi kijana tuna anavyo badili tabia...inavyo onekana amesahau mila za mtanzania.mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom