KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,319
Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
karibu sana kamanda soggy doggy anter ndani ya chama cha chadema! Ukombozi wa nchi hii utaletwa na vijana wenye dhamira ya kweli! Popoooooz!
Yericko wala hujakosea ni "popooooz!"Karibu sana kamanda Soggy Doggy Anter ndani ya chama cha Chadema! Ukombozi wa nchi hii utaletwa na vijana wenye dhamira ya kweli! Popoooooz!
Hivi ndivyo alivyo funguka Twitter na Facebook"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"View attachment 99314
Kwani Mpendazoe kasema kashindwa?Hivi ndivyo alivyo funguka Twitter na FacebookView attachment 99314
"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"
Karibu sana kamanda
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Pamoja na kwamba ninapenda mabadiliko, lakini hii sio sahihi na siafiki. Umaarufu sio uongozi. Huyu Soggy hivi bungeni ataenda kufanya nini? Jamani, ebu tuwe wakweli; hivi tunamuweka kwenye mizani gani tukimsoma Soggy kupitia kwenye ujumbe wa nyimbo zake? Kweli ana uwezo wa kuchambua masuala mtambuka yanayoikabili nchi?
CHADEMA, ni heri kuliacha jimbo kwa CCM (kama kuna mgombea bora) kama kuliko kupoteza nguvu na fedha kwa mtu ambaye sio sahihi.