The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,458
- 13,465
yap ni ngumu sana ila walao amerudi kwenye form ,haongei tena mapumba,mara ntarecord na 2 pac e.t.c,sasa hivi hata wewe unaweza kaa naye mkajadili masuala ya kifamilia ,tayari ana mchumba piaBado mapema MKUU ,,ngoja ipite mwaka mmoja KAMILI,, kama HAJAREJEA MADAWA tuseme ALHAMDULILAH , ,hiyo ni ALBADILI YA KIHINDI kuacha ni NGUMU SN
Sent using Jamii Forums mobile app