Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,402
- 72,955
Hakuna cha majina ya wasaliti wala hakuna cha walipa posho kwa watu wa mitandao, bali hiyo ni mbinu ya Makonda kuwaweka kwenye kona mbaya mawaziri wamuogope kuwa ukimfuata fuata anaweza kukusemea chochote kwa "mama yake kipenzi " na huo unakuwa mwisho wako.
Huu mtindo wa kujenga taharuki ni mbinu ya kimafia na nina uhakika amefanikiwa kwani hata Dar aliwahi itumia kwa kina Jafo hadi kutamka kuwa "tunaweza kulingana kwa umri na mkadhani mumenizidi vyeo, ila nimewaacha mbali sana" na wakafyata maana alikuwa na "baba yake kipenzi" wakati huo.
Pia soma