Msanii Maarufu Donna Summer afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii Maarufu Donna Summer afariki dunia

Discussion in 'Celebrities Forum' started by HP1, May 18, 2012.

 1. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  View attachment donna summer.bmp
  Donna Summer, aliyepata umaarufu kwa vibao vya disco kama I Feel Love, Love To Love You Baby na Love's Unkind, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 63.
  Summer alikuwa ni miongoni mwa wasanii mashuhuri sana wa mtindo wa disco aliyewahi kutunukiwa tuzo tano za Grammy kati ya 1978 na 97.

  Alishirikiana na Producer Giorgio Moroder katika kuimarisha mtindo wa disco duniani kote.
  Alizaliwa akiwa na jina la LaDonna Andre Gaines, alikulia mjini Boston na alianza kuimba katika kwaya ya kanisani.
  Alianza kuimba katika tamthilia ya muziki Hair katika miaka ya mwisho ya 1960 nchini Ujerumani ambako hatimaye ndiko alikoamua kuishi.
  Rekodi yake ya kwanza aliitoa mwaka 1971 lakini ni ushirikiano wake na msanii wa Kitaliana Moroder ndio uliomletea umaarufu kwa kibao maarufu cha Love to Love You Baby mnamo mwaka 1975.
   
 2. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,801
  Likes Received: 2,572
  Trophy Points: 280
  RIP Donna Summer. I loved songs Bad Girls , Hotstuff.
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Rest in peace
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  JK haendi kuzika jamani. Naogopa taifa lote kwenda Marekani kuzika, ya Kanumba hayajatoka kwenye kumbukumbu!!!
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  R.I.P. Donna Summer.
   
 6. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,014
  Likes Received: 2,624
  Trophy Points: 280
  R.I.P Donna Summer i loved her album which carry the songs Bad girls and Hotstuff.
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,058
  Likes Received: 6,505
  Trophy Points: 280
  R.I.P Donna Summer
   
 8. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  miaka 63, alikikuwa bado kidogo!
  Ametoa mchango mkukwa katika muziki, RIP mama Donna Summer
  Donna.jpg
  http://www.nation.co.ke/News/world/Disco+legend+Donna+Summer+dead+from+cancer/-/1068/1408172/-/13eghk7/-/index.html
   
 9. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  nina Greatest hits zake...
  Mwenye kuhitaji anitumie ujumbe kwa Inbox...
  Kufa kufaana mwanakwetu.
   
Loading...