kwa hiyo j anaamini kuwa nayeye ni miongoni mwa watu wanojua siasa kazi anafikili kuwa na mwili wa kutikisika ndiyo kujua siasa.
Naona povu linakutoka jinsi cdm inavyo-hit...bado nachalenge uwezo wa j katika kujenga hoja ila katika kukimbia kimbia wamepata mtu ila kwa maana ya weledi bule kabisa.
CHADEMA mnazidi kuongeza majanga; Joseph Haule hana tofauti na Joseph Mbilinyi kwa mipasho isiyokuwa na hekima
Siasa ni maisha,siasa sio uongo kama mnavyo amini c.c.m,na uelewe kua hip hop ni maisha pia,ndio maana ukiangalia mashahiri yote ya Prof Jay anaelezea maisha halisia kabisa yanayomsibu Mtanzania,au wewe unadhani siasa ni kubwabwaja na kubishana bila hoja kama Lusinde?amka
Jamani tunaomba pro chadema na wapenda mabadiliko katika taifa letu wamshawishi na Roma Mkatoliki ajiunge rasmi na makamanda, itakuwa imetulia sana, hatutakuwa na haja ya kuyakodi kina diamond kama maccm yafanyavyo!
ameona anadoda kisanii stress zimemuelekeza huko na kuibukia kwenye chama cha wahuni kama yeye
kazi maalumu ya j hapo cdm itakuwa ni nini.
Msanii wa bongo fleva mwenye mvuto na kupendwa na watu wote ni Diamond, wengine hakuna kitu kwa sasa. Na yeye ndiye anaye ongoza kwa kipato ndani ya bongo fleva. Prof. Jay hakuna kitu tena, ni oil chafu hiyo mkuu
tunampeleka songea mjini, mwaka 2015 jimbo lake, nchimbi asahau kabisa!
Bravo kubwa kamanda Braza Jay! Sasa Lady Jay Dee unasubiria nini jamani?