Msanii jela miaka 10 kwa kumiliki fisi

CCM wameshindwa kumsaidia msanii wao hadi anafungwa?
View attachment 294013
amehamia ukawa

attachment.php
 
Mramba na Yona wamehukumiwa mwaka mmoja kwa kufanya ubadhirifu wa mabillioni ya fedha
kweli aise hizi sheria ni kwa ajili ya maskini ,watu wanakamatwa na meno ya tembo wanafichwa hawashitakiwi,twiga wanapanda kwenye ndege la hatariiii
 
Wanasheria walioko JF wanaweza kumtetea hiyo mwananchi . Ikiwezekani wa JF tuchangie kwani wapunguze hata hiyo FAINI.
 
duh inatia hasira kuona mtu mnyonge anahukumiwa miaka kumi kwa kosa la kumiliki fisi,ila kwa maeneo ya vijijini hasa usukumani wacheza ngoma wamekuwa wakitumia fisi tangu zamani sana,sijui imekuwaje huyu kakamatwa. huenda kuna fitina.
 
Sheria zipo kwa ajili ya maskini

Huo ni ukweli. Halafu hapohapo wanasema watu wajiajiri. Mtu kajiajiri tena kwa fisi ambao wapo hai na anawalinda wasilete madhara kwa watu. Hao fisi wakiachiwa huenda wakaleta madhara vilevile... Huyo hakimu sijui alijisikiaje japo sheria inasema.
 
Wanyama pori kama simba chui nyati pundamilia, huwezi kuwafuga na kutembea nao kama mbwa.

Fisi wapo aina mbili, wapo ''mlulu'' hawa ni fisi pori na hawafugwi na ndio wanaokaa serengeti.

Huyu ni fisi wa kufuga kama mbwa ngombe paka, anaitwa ''nhawa'' huyu anaishi majumbani na anafugwa na kama uzito wako ndogo unaweza mdandia akakubeba kama punda au ngamia, hivyo huyo fisi sio nyara ya serikali haishi porini kama twiga au simba.

Wapo pia pakashume ambao hawafugwi na wanaishi porini na wapo ''nyau'' hufungwa na kuishi na binadamu.

Wapo ''mbwa mwitu'' hawa hawafugwi lakini tunao mbwa wa kawaida tunaofuga basi kama ni hivyo watu wanaomiliki paka na mbwa wakamatwe.


SASA WEWE NAONA UNATAKA KUTUFANYA MAPOYOYO KAMA WEWE ETI! kUNA AINA ZA FISI 4 YANI SPECIES AMBAO NI SPOTTED HYENAS, BROWN HYENASM STRIPPED HYENAS NA AADRDWOLVES.[FONT=arial, sans-serif] NA WOTE HAO WAPE HAPA KWETU TZ. HUYO MSANII ALIKUWA NA SPOTTED HYENA AMBAYE NI MYAMA PORI. kadangaye wanao paka veve!!![/FONT]
 
wapuuzi kweli hata hao wakuu hapo walikuwa wanashangilia nakupiga picha basi washitakiwe pia au watozwe faini.
 
Bila shaka huyu jamaa atakuwa mshirikina, japo adhabu hiyo imezidi kiwango kidogo. Lakini hawa watu hutumia fisi hao kuwangia usiku.
:typing:
 
Kweli waliosema jela ni kwa ajili ya maskini hawakukosea,,,,,poleee msaniiii
 
ImageUploadedByJamiiForums1444076403.132944.jpg
Sasa mimi nafuga huyu jamaa sijui na mimi wakiniona watanitoza hizo pesa na kifungo???!
 
Maskini pamoja na mafisiemu kumtumia kwenye mikutano yao wameshindwa kumsaidia kulipa hiyo faini.

Kaunga, kama uliona ile clip ya yule mama aliyesema ukitaka kuijua ccm, umwa au uwe na kesi uone ka watakusaidia, inasikitisha sana
 
ImageUploadedByJamiiForums1444076549.711715.jpg
Kama haitoshi hata nyoka tunafuga kwetu tena toka miaka mingi tu,Leo hii aje mtu aseme nyara nyara za serikali wakati miaka yote sisi tunamtunza kwa hali na mali!!'n
 
Back
Top Bottom