Narudia tens: Mahakimu vilaza hawa au wa nataka kujipendekeza huku wakiwa hawajui miongozo na kanuni za kazi hao.Ni hivi, chini ya Mwenendo wa Mashtaka ya Jinai, MTU akihukumiwa kulipa faini sio lazima afungwe iwapo muda rule anakuwa hana faini. Bail inatakiwa iwe extended kwa muda, sema wiki mbili ili mhusika akatafute hiyo faini.
Na hiyo faini inayolingana na thamani ya fisi ni ya nini kama fisi wenyewe wamechukuliwa na serikali?
Nitarudi
Inaonekana kanda ya ziwa kuna vituko sana kwenye mahakama.Kuna ile kesi ya mbwa kuitwa IMAGRATION hakimu aliamuru mbwa yule apigwe Mawe mpaka afe kisa hilo jinaNimeongea na wakili mmoja mwanza amesema tutashirikiana nae kuhakikisha rufaa inakatwa na mwendendo mzima wa kesi unapitiwa.
hivi wana JF atuwezi anza kampeni ya kumsaidia huyu lofa mwenzetu kweli??? either afutiewe kosa au tumlipie fine atoke?
dah! kwa hiyo mpango wangu utafeli?
hivi wana JF atuwezi anza kampeni ya kumsaidia huyu lofa mwenzetu kweli??? either afutiewe kosa au tumlipie fine atoke?
Nimeongea na wakili mmoja mwanza amesema tutashirikiana nae kuhakikisha rufaa inakatwa na mwendendo mzima wa kesi unapitiwa.