miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,985
wangepewa pesaJamani! Na Kinana na ccm walivyokuwa wanatumia fisi kuvutia watu mikutanoni walifaywaje?
wangepewa pesaJamani! Na Kinana na ccm walivyokuwa wanatumia fisi kuvutia watu mikutanoni walifaywaje?
amehamia ukawa
Wee jamaa hatareee, unapiga mulemule!
kweli aise hizi sheria ni kwa ajili ya maskini ,watu wanakamatwa na meno ya tembo wanafichwa hawashitakiwi,twiga wanapanda kwenye ndege la hatariiiiMramba na Yona wamehukumiwa mwaka mmoja kwa kufanya ubadhirifu wa mabillioni ya fedha
Sheria zipo kwa ajili ya maskini
Wanyama pori kama simba chui nyati pundamilia, huwezi kuwafuga na kutembea nao kama mbwa.
Fisi wapo aina mbili, wapo ''mlulu'' hawa ni fisi pori na hawafugwi na ndio wanaokaa serengeti.
Huyu ni fisi wa kufuga kama mbwa ngombe paka, anaitwa ''nhawa'' huyu anaishi majumbani na anafugwa na kama uzito wako ndogo unaweza mdandia akakubeba kama punda au ngamia, hivyo huyo fisi sio nyara ya serikali haishi porini kama twiga au simba.
Wapo pia pakashume ambao hawafugwi na wanaishi porini na wapo ''nyau'' hufungwa na kuishi na binadamu.
Wapo ''mbwa mwitu'' hawa hawafugwi lakini tunao mbwa wa kawaida tunaofuga basi kama ni hivyo watu wanaomiliki paka na mbwa wakamatwe.
Jamani si angechangiwa hizo 4m/=+ ili azidi kusaidia familia yake kuliko hiyo miaka yote
Jamani si angechangiwa hizo 4m/=+ ili azidi kusaidia familia yake kuliko hiyo miaka yote
Maskini pamoja na mafisiemu kumtumia kwenye mikutano yao wameshindwa kumsaidia kulipa hiyo faini.