Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Prof J, alikuja nyumban Songea alikua anazungumza na kaka mkubwa, mie nilikuwepo kwa pembeni. Na nilimsalimia, ikiwa bado hajawa mbunge.

Jux, huyu nilikutan nae Morogoro, GM HOTEL, kuna jambo lilitukutanisha

Foby, huyu ndo namjua in and out, nimecheza nae San, na mchumba ake alikua anaitwa rose, akiwa anasoma Ruhuwiko sec school (shule ya jeshi) ,
 
Foby ndio Nani?
 
Godzilla nimesoma nae na hata namba yake nilifuta alivyofariki...

Izzo business home boy story nyingi tu

TID nimecheza nae pool table sana tu zamani kidogo miaka ya 2009

Mr blue alikuja street kwetu enzi zile za nyimbo ya blue blue anachana,tunamnunulia bangi.Alikuwa na kigari kdg hivi cheusi sijui vits ile.

Wema ameshawahi kunipa pochi nimshikie wakati anaigiza movies

Marehemu Kanumba amenilipa 7000 kwa kushiriki movies yake ya white maria..

J.B tumegombea mikate shoprite pale kwa sana

Lulu sijui aliniona mimi ndo crush wake tumeshawahi kukutanisha macho pale mlimani city mpk nikajisemea ina maana Lulu ndo kanipenda au mbona ananiangalia km kaona pesa vile

Hawa sikuongea Racka,Bashe,Mwana Fa,Stamina mapenzi yamemtesa zamami sana alikuwa anakuja kutongoza mtaani kwenu demu anamkataa
 
2013 Stereo alikuwa anakuja Ghetto kumwomba bro ampeleke Wasafi kwa bodaboda ( Ukipata jina kubwa wakati pesa hina ni mateso ). Wakawa wakifika Wasafi wanamkuta Qboy enzi hizo wako Sinza anavimba ile mbaya.

Stereo alifanikiwa kutoa ngoma na Mavoko wakati bado yuko WCB.

Cha kushangaza jamaa baada ya kupata kazi bank, Muziki kaupitezea.
 
Nlikutana na asly lounge, nlikuwa naenda mwanza yy anaenda arusha kwenye show.enzi zile wapo yamoto band walikuwa wote kina beka nk. Ila sikuongea navyo vilikuwa vimezibuka sana

Nikaja kukurana na ben kinyaia, masanja, na kundi lake kwenye fastjet toka mza to dar. Pia sikuongea nao japo nlikuwa nyuma ya ben kwenye foleni kucheckin
"Sikuongea navyo" inaonekana mkuu una maisha flan hivi ya kudharau wasio na kitu, unaonekana huwa unaongea na watu wa level flan hivi ya juu kimaisha, huenda una shida mahala.
 
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.

Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.

Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,

Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.

Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
Dully skykes yenu bar ubungo na Prof jize Kona bar sinza aliyeimba kikulaacho Kiko nguoni mwako simkumbuki jina tulikutana London mwaka 2002
 
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.

Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.

Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,

Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.

Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
Mr Blue kakupa nini?!
 
Nilipanda Bajaji!! Na mwinjuma muumin tokea Gongo la mboto!!! Tunakwenda Mnaz Mmoja!!!

Kuna huyu Jamaa Dulayo '' huku Ukonga!!! Mitaa ya Banana Goms!! Anagongea K Vant Tuu!! Ana kitu:

Masanja Mkandamizaji!! Nimekutana Nae sana Ofisin kwetu hapa!!! Japo masihala yake yako vile vile!!!

Baghdad Aliwah kutubeba kweny Uber!!!! Ile siku Tumeita Uber mitaa ya Tazara.....Inakuja simama !! Dereva nikamtambua Baghdad!!!! Daa bas story ziliendelea......mpka chench yangu 7500/ Nilikuachia Mtoto wa Mexixana Baghdad!!!!!!

N.B
U-star zigo la mavi, !!!!!
muumini mwinjuma siku hizi anakaa kijichi anashinda ccm stendi pale
 
Kuna msanii mmoja enzi hizo akiwa mchekeshaji na sasa ni mtangazaji mkubwa sana sita taja jiana lake

Tulikua nae mitaani anaishi kwao na mama yake, alikua anatupiga sana mizinga ya ninunulie konyagi ndogo na nauli za kwenda kufanya shooting na kutuomba nyumba kama location
Binafsi amefanyia shooting kwenye geto langu

Sasa hivi akija mtaani na ndinga yake kuja kumsabahi mama yake anatupita full vioo vya tinted hata salamu tu hakuna

Siku moja tukamtolea uvivu kwa mama yake ni jirani na grosary tukapaki gari tuka mblock ikabidi aje grosary kuomba gari itoke ili atoe yake
Wananzengo wakaanza kumpa makavu live kwamba hatutaki hela zake ila salamu tu kama enzi hizo
Basi kuanzia siku hiyo akawa lazima ashuke aje tupige stori sana na kama yupo njema anatembeza konyagi huyo
 
Mayu, shida Ni nyagi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom